Gurudumu la Uchumi

Nini kifanyike kuvutia uwekezaji Afrika?

Sauti 09:32
Wafanyakazi wa viwandani nchini Brazil
Wafanyakazi wa viwandani nchini Brazil CheryBrasil/ SDPress

Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia kuhusu mkakati wa bara la Afrika kuvutia wawekezaji.