Sisi ni nani?

Sauti mbalimbali za ulimwengu

Kuhusu RFI

RFI ni inajihusisha na masuala ya sasa, kituo cha redio ambacho kinatangaza duniani kote katika lugha za kigeni 16 na kifaransa.
(* Kifaransa, Kiingereza, Kikambodia, Kichina, Kichina cha jadi, Kihispania, Kihausa, Kimandinka, Fulfulde, Kiswahili, Kiajemi, Kireno, Kibrazili, Kirumi, Kirusi, Kivietnam )

Kinategemea utaalamu wa timu yake ya wahariri wa mjini Paris na mtandao wa kipekee wa kimataifa wa waandishi wa habari 400 ili kutoa taarifa za habari na makala ambavyo uwapa wasikilizaji ufunguo wa kuelewa dunia. Takriban watu milioni 40 wasikilizaji dunianiwanasikiliza RFI kila wiki na majukwaa yake ya vyombo vya habari uvutia watu milioni 10 kwa mwezi wanaotembelea mtandao

Taarifa wa habari

France Médias Monde

Sikiliza na Angalia Dunia

France Medias Monde, Kituo kinachohusika na hudumaya utangazaji wa kimataifa, kinajumuisha lugha tatu za habari kwenye FRANCE 24, kituo cha redio ch kimataifa RFI na Kiarabu- kituo cha redio Monte Carlo Doualiya. Kutoka mjini Paris, vinatoa matangazo ya dunia katika lugha 14.

Waandishi wa habari wa kundi hilo na mtandao wake wa kipekee wa waandishi wa habari utoakwa watazamaji na wasikilizaji upeo wa kina wa matukio ya ulimwengu, kwa lengo la kiutamaduni na maoni yanayokinzana kupitia taarifa za habari, ripoti, magazeti na mijadala.

Kila wiki, France 24 inajivunia wastani wa watazamaji milioni 41.7, RFI milioni 34.5 wasikilizaji na Monte Carlo Doualiya milioni 6.7 ya wasikilizaji (kila wiki - bila ya kuzidisha). Majukwaa ya vyombohivyo vya habari yanavutia watu milioni 24 kwa mwezi.

France Medias Monde pia ni mbia na mdau runinga ya lugha ya Kifaransa TV5MONDE.