Maandamano ya upinzani nchini Kenya dhidi ya Tume ya uchaguzi

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya CORD Raila Odinga akiongoza maandamano jijini Nairobi REUTERS/Thomas Mukoya

Muungano wa upinzani nchini Kenya CORD umeendelea kuandamana kila Jumatatu kushinikiza kujiuzulu kwa Makamishena wa tume ya uchaguzi kuelekea mwaka ujao.

Matangazo ya kibiashara