Kwa Picha: Shambulio la Nice, Ufaransa (Diaporama)

Wakaguzi wakagua lori lililowagonga na kuwaua watu 84 na kuwajeruhi wengine zaidi 202 katika mji wa Nice, Julai 14, 2016. REUTERS/Eric Gaillard

Watu 84 wamepoteza maisha Alhamisi usiku katika mji wa Nice, nchini Ufaransa, baada ya kugongwa na lori lililoingizwa kwa kasi katika umati wa watu wakati wa sherehe ya maadhimisho ya Siku kuu ya kitaifa ya Julai 14. Zaidi ya watu 202 wamejeruhiwa, kwa mujibu wa Mwendesha mashitaka.

Matangazo ya kibiashara