Kwa picha: Maisha ya Fidel Castro

Fidel Castro, mwanamapinduzi wa Cuba, hapa akiwa nchini Argentina, Julai 21, 2006. REUTERS/Andres Stapff

Fidel Castro, anayejulikana kwa siasa zake za kimapinduzi, aliyetawala taifa hilo kwa miongo kadhaa na ambaye alifariki mapema Jumamosi asubuhi akiwa na umri wa miaka 90. Mwili wake, utachomwa hadi kuwa majivu kama alivyotaka mwenyewe, wakati sherehe ya kibinafsi.

Matangazo ya kibiashara