Kwa picha: Donald Trump kuapishwa

Donald Trump akiwa na mkewe Melania, Januari 20, 2017. AFP

Donald Trump anaapishwa leo Ijumaa, Januari 20 kama rais 45 wa Marekani. Ataapishwa kwenye ukumbi wa Capitol Hill saa 05:46 saa za Washington (sawa na 01:46 jioni saa za Afrika ya Mashariki).

Matangazo ya kibiashara