Kwa picha: Uchaguzi ufaransa, Emmmuel Macron ashinda

Emmanuel Macron akisherehekea ushindi wake na mkewe Brigitte Trogneux. REUTERS/Philippe Wojazer

Emmanuel Macron ameshinda Uchaguzi wa Urais wa Ufaransa. Matokeo yanaonesha Macron amemuacha kwa mbali mpinzani wake Bi Marine Le Pen kwa kujinyakulia asilimia 65 ya kura. Akiwa na miaka 39, Macron anakuwa rais waumri mdogo zaidi wa kuchaguliwa kuwahi kuiongoza Ufaransa na wa kwanza kuchaguliwa kutoka nje ya vyama viwili vikubwa vya siasa nchini humo.

Matangazo ya kibiashara