RFI Katuni za Meddy 2018-2020

Heri ya mwaka mpya 2021, matumaini ni kushinda janga la Covid 19. (31/12/2020) Dr.Meddy

Katuni hizi zinaashiria yale yanayoendelea kushuhudiwa ulimwenguni, ikiwa ni pamoja na kuzuiliwa kinyume cha sheria mwandishi wa habari wa RFI katika lugha ya Haousa nchini Cameroon Ahmed Abba.

Matangazo ya kibiashara