Ufaransa na Ujerumani waafikiana kuhusu deni la Ugiriki
Viongozi kutoka mataifa yanayotumia sarafu ya Euro wamekuwa wakitkutana huko brussles Ubelgiji kuzungumzia mbinu za kuisadia Ugiriki,kukabalina na deni lake na halikadhalika kutafuta mbinu za kuzuia mataifa mengine ya Ulya kuingia katika hali ya madeni.
Imechapishwa:
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel na rais wa Ufaransa Nicolas Sarkozy inaelezwa tayari wamefikina mbinu ya kukabailana na hali ya deni la Ugiriki,lakini maelezo ya namna hili litafika hayajatolewa.
Angel Merekel amesema ni sharti wao kama viongozi wapate suluhu la kudumu la kukabilina na hali hii ya madeni huko barani Ulaya.
Hata hivyo,wachambuzi wa maswala ya kiuchumi wanasema kuwa lich ya mkutanio huo wa dharura,kufanyiika huko Brussell kinacholuizwa na wengi ni nani ndieye atakayelipa deni hilo la Ugiriki na ni vipi hilo litafanyahuku,rais wa umoja wa Ulaya Jose Manuel Barrosso akisisistiza kuwa ni sharti kila kiongozi katika umoja huo kushirtikiana ili kukabalina na hali hiyo.