Mjadala wa Wiki

Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu akosoa Marekani kuhusu Iran na Mpango wa Nyuklia

Imechapishwa:

Katika mjadala wa wiki juma hili, tunazungumzia hotuba ya waziri mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu mbele ya bunge la Congress Marekani Jumanne februari 3 mwaka 2015.Netanyahu alikemea, makubaliano katika mazungumzo yanayoendelea na Iran juu ya nyuklia, akisema kwamba ni mpango mbaya, ambao utahatarisha dunia na Israeli kwa namna ya pekee.Hotuba hiyo imekosolewa na serikali ya rais Obama.Kulizungumzia hili, tunaungana kwa njia ya simu na Francis Onditi huyu ni mtaalamu wa masuala ya kiusalama akiwa Nairobi nchini Kenya, lakini pia professa Mohamed Bakari, huyu ni mgadhiri katika chuio kikuu cha jijini Daresalaam nchini Tanzania.Ungana nami Reuben Lukumbuka kusikiliza makala haya,... 

Studi RFI Kiswahili jijini Dar es Salaam
Studi RFI Kiswahili jijini Dar es Salaam RFI/BILALI