Mashambulizi ya kigaidi jijini Brussels nchini Ubelgiji
Imechapishwa:
Sauti 10:14
Nchi ya Ubelgiji bado inaomboleza vifo vya zaidi ya watu 30 baada ya magaidi wa Islamic State kushambulia uwanja wa ndege hapo jana jijini Brussels.Mashambulizi kama haya yamewahi pia kutokea nchini Ufaransa, Mali, Nigeria, Kenya na Somalia.Kwa maoni yako dunia inaweza kutumia mbinu gani kupambana na haya makundi ya kigaidi.Ni kitu gani ambacho hakifanyiki vizuri ? Dunia iko salama ? Ni maswali tunayouliza.