Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Uingereza kuuvua uanachama kwenye Umoja wa ulaya

Sauti 21:08
Waziri mkuu wa Uingereza David Cameron, akiandamana na mkewe ametangaza kujiuzulu kwake mwezi oktoba, juni 24 2016.
Waziri mkuu wa Uingereza David Cameron, akiandamana na mkewe ametangaza kujiuzulu kwake mwezi oktoba, juni 24 2016. REUTERS/Phil Noble

Katika makala hii tumeangazia kura ya maoni iliyopigwa na raia wa Uingereza ambapo asilimia 52 ya waingereza wamepiga kura ya kujiondoa kwenye Umoja wa Ulaya, lakini pia barani afrika tumeangazia yaliyojiri nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo kuhusu Marekani kuzuia mali za afisa wa polisi nchini humo, jenerali celestin Kanyama wakati nchini Tanzania rais John Pombe Magufuli wiki hii, alitoa wito kwa wanasiasa wa upinzani kushirikiana naye kuwatumikia wananchi na kuacha kupiga siasa badala ya kuwatumiakia wananchi..