Habari RFI-Ki

Kombe la mataifa ya Ulaya 2016

Sauti 10:06
Ureno, bingwa wa Ulaya wa mpira wa miguu, kombe la mataifa ya Ulaya, 2016.
Ureno, bingwa wa Ulaya wa mpira wa miguu, kombe la mataifa ya Ulaya, 2016. Reuters/Darren Staples

Kumalizika kwa michuano ya kombe la mataifa ya Ulaya 2016, iliyofanyika nchini Ufaransa. Wasikilizaji wanazungumza na kutoa maoni yao mbali mbali juu ya michuano hayo iliyostajaabisha wengi.