Habari RFI-Ki

Waziri Mkuu mpya na mwanamke nchini Uingereza

Sauti 10:14
Theresa May, Waziri Mkuu mpya wa Uingereza.
Theresa May, Waziri Mkuu mpya wa Uingereza. REUTERS/Andrew Yates/File Photo

Katika Habari Rafiki leo tunatupia jicho uteuzi wa waziri mkuu mpya nchini Uingereza, Theresa May, usawa wa kijinsia na athari za mfumo dume. Wasikilizaji wanateta na kutoa maoni yao juu ya uteuzi huo wa muhimu sio tu kwa Ulaya bali duniani kwa ujumla, hususan, mfano mzuri juu ya mwanamke kuwa anaweza pia.