Habari RFI-Ki

Shambulizi la kigaidi mjini nice, nchini Ufaransa

Sauti 09:19
Lori iliyotumika kufanya shambulizi la kigaidi, mjini Nice, nchini Ufaransa.
Lori iliyotumika kufanya shambulizi la kigaidi, mjini Nice, nchini Ufaransa. Reuters/Eric Gaillard

Leo Katika Habari Rafiki, tunatupia jicho shambulizi la kigaidi iliyofanyika mjini Nice, nchini Ufaransa, usiku wa tarehe 14 kumakia tarehe 15 Mwezi wa Saba, mwaka 2016. Wasikilizaji wanahoji na kuteta hali hii ya kutatanisha.