Habari RFI-Ki

Mkutano wa viongozi wa EAC 08-09 Septemba 2016 Dar es Salaam

Sauti 11:28
Viongozi wa jumuiya ya Afrika Mashariki wakiwa mkutanoni mjini Arusha Tanzania
Viongozi wa jumuiya ya Afrika Mashariki wakiwa mkutanoni mjini Arusha Tanzania sw.rfi.fr/eac

Katika makala haya utasikia maoni ya wasikilizaji kuhusu mkutano wa viongozi wa Afrika Mashariki unaoanza kesho Alhamisi nchini Tanzania, Sikiliza ufahamu mengi,Karibu.