Emmanuel Macron achaguliwa kuongoza Ufaransa
Imechapishwa:
Sauti 09:49
Makala ya habari rafiki inaangazia maoni ya wasikilizaji katika ukanda wa Afrika mashariki na kati kuhusu ushindi wa Emmanuel Macron dhidi ya Marine Le Pen katika uchaguzi mkuu wa raisi nchini Ufaransa.