Tamasha la kimataifa la filamu Festival de Cannes
Imechapishwa: Imehaririwa:
Sauti 20:27
Tamasha la kimataifa la filamu nchini Ufaransa Festival Internationale de Cannes latimua vumbi nchini Ufaransa. Ambatana na Ali Bilali kufahamu zaidi kuhusu tamasha hili.