Changu Chako, Chako Changu

Fahamu Historia ya tamasha la filamu Festival de Cannes

Imechapishwa:

Katika Makala haya Changu Chako Chako Changu, Ali Bilali anazungumzia kuhusu Historia ya tamasha la filamu Festival International de Cannes. Waigizaji kadhaa wamemiminika huko Cannes kwa ajili ya tamasha hilo kubwa lenye ushawishi mkubwa duniani.

waigizaji kadhaa wa filamu wakipiga picha wakati wa tamasha la filamu la Cannes mwaka 2018
waigizaji kadhaa wa filamu wakipiga picha wakati wa tamasha la filamu la Cannes mwaka 2018 Alberto PIZZOLI / AFP
Vipindi vingine