UINGEREZA-AJALI-USALAMA

Wawili wajeruhiwa katika ajali ya barabarani London

City, eneo la kibiashara la London.
City, eneo la kibiashara la London. REUTERS

Baada ya tukio hilo, polisi waliokuwa katika eneo hilo walilizingira gari na ntu aliyekuwa ndani ya gari hilo akakamatwa.Wakimbiza Baiskeli waligongwa na gari hilo ndogo na kujeruhiwa na tayari wamekimbizwa hospitali kupata matibabu huku hali yao ikielezwa sio mbaya sana.Watalaam wa usalama hasa kutoka Shirika la Scotland Yard, wanachunguza kisa hicho kubaini iwapo, ni tukio la kigaidi.Walioshuhudia wanasema dereva wa gari hilo alionekana kuwa na nia ya kuwagonga watembea kwa miguu, wakati huu uchunguzi ukiendelea zaidi.Waziri Mkuu Theresa May ametuma salamu za pole kwa waliojeruhiwa na kuahidi kuwa ukweli utabainika kuhusu tukio hili.

Matangazo ya kibiashara

Baada ya tukio hilo, polisi waliokuwa katika eneo hilo walilizingira gari na ntu aliyekuwa ndani ya gari hilo akakamatwa.

Wakimbiza Baiskeli waligonja gari hilo ndogo na kujeruhiwa na tayari wamekimbizwa hospitali kupata matibabu huku hali yao ikielezwa sio mbaya sana.

Watalaam wa usalama hasa kutoka Shirika la Scotland Yard, wanachunguza kisa hicho kubaini iwapo, ni tukio la kigaidi.

Walioshuhudia wanasema dereva wa gari hilo alionekana kuwa na nia ya kuwagonga watembea kwa miguu, wakati huu uchunguzi ukiendelea zaidi.

Waziri Mkuu Theresa May ametuma salamu za pole kwa waliojeruhiwa na kuahidi kuwa ukweli utabainika kuhusu tukio hili.