Pata taarifa kuu
Muziki Ijumaa

Maombolezo ya kifo cha mwanamuziki Charles Aznavour

Sauti 12:03
Charles Aznavour wakati wa tamasha lake Palais des congrès septembre 2015.
Charles Aznavour wakati wa tamasha lake Palais des congrès septembre 2015. Edmond Sadaka/RFI
Na: Ali Bilali
Dakika 13

wananchi wa Ufaransa wanaomboleza kifo cha mwanamuziki Mkongwe Charles Aznavour aliefariki hivi majuzi akiwa bafuni. Charles Aznavour ambae alikuwa tayari na umti wa miaka 84 anafanyiwa mazishi ya kitaifa hii leo baada ya serikali ya Ufaransa kuafikiana na familia ambayo ilikuwa haitaki hilo. kufahamu mengi zaidi kuhusu mwanamuziki huyo ambatana naye Ali Bilali katika Makala haya, usikose pia kumfollow kwa Instagram kwa kuandika @billy_bilali

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.