Historia ya mapinduzi ya Ufaransa la Fete de la Bastielle

Sauti 20:29
Emmanuel Macron rais wa Ufaransa
Emmanuel Macron rais wa Ufaransa Ludovic Marin/Pool via REUTERS

Katika Makala haya, Ali Bilali amezungumza na balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Frederic Clavier kuhusu siku kuu ya mapinduzi nchini Ufaransa ambayo huadhimishwa kila Julay 14.