URUSI- HAKI ZA BINADAMU

Wanadiplomasia wa EU kujadili vikwazo vitakavyowekewa taifa la Urusi.

kiongozi wa Upinzani nchini Urusi, Alexei Navalny .
kiongozi wa Upinzani nchini Urusi, Alexei Navalny . AP Photo/Pavel Golovkin

Wanadiplomasia wa Umoja wa Ulaya, wanakuatana jiji Brussels kujadili vikwazo vinavyoweza kuwekewa mataifa wanachama hasa yale yanayokiuka haki za binadamu.

Matangazo ya kibiashara

Miongoni mwa mataifa lengwa ni pamoja na Urusi, hatua inayochukuliwa baada ya kiongozi wa upinzani nchini humo, na mkosowaji mkubwa wa serikali, Alexie Navalny kufungwa jela, kwa tuhuma za kukiuka masharti ya mahakama.

 

Mataifa mengine ni Burma, Venezuela na Belarus.