Changu Chako Chako Changu

Sauti 20:15
RFI Kiswahili
RFI Kiswahili

Watayarishaji wa makala haya, Karume Asangama na Pendo Paul Ndovi bado wanaendelea kukuburudisha na kukuelimisha kupitia kipindi hiki kwa kufahamu tamaduni mbalimbali barani afrika hususani kwa nchi ambazo zinatumia lugha ya kifaransa kwa mawasiliano.