Nguvu zaidi inahitajia kuendeleza Muziki wa Rege Barani Afrika: Ras Gwandumi

Sauti 20:00
Mtangazaji wa makala ya Nyumba ya Sanaa Edmond Cheli akiwa na wasanii wa muziki wa Rege nchini Tanzania katika studio za RFI-kiswahili, Dar es Salaam
Mtangazaji wa makala ya Nyumba ya Sanaa Edmond Cheli akiwa na wasanii wa muziki wa Rege nchini Tanzania katika studio za RFI-kiswahili, Dar es Salaam Emmanuel Makundi, RFI Journalist

Wiki hii mtayarishaji wa makala ya Nyumba ya Sanaa, Edmond Lwangi Cheli amezungumza na wasanii wa muzuki wa rege nchini Tanzania, Ras Gwandumi na Ras Mizizi ambapo wanaangalia Muziki wa rege kwa undani na nafasi ambao mziki huu inayo Afrika Mashariki na Kati pamoja na dunia kwa ujumla.