Nyumba ya Sanaa

Muendelezo wa mazungumzo kuhusiana na muziki wa Rege

Sauti 20:00
Mtoto wa marehemu bob Marley, Ziggy Marley akiimba katika moja ya tamasha alowahi kufanya
Mtoto wa marehemu bob Marley, Ziggy Marley akiimba katika moja ya tamasha alowahi kufanya

Mtayarishaji wa makala haya ameendelea kuuangazia muziki wa rege katika mfululizo wa mazungumzo yake na wasanii wa Muziki huu nchini Tanzania na kule nchini Kongo.