Muziki Ijumaa

Tamasha la The Beat Festival kuadhimisha mwaka mmoja wa RFI kiswahili

Sauti 10:05

Mtangazaji wa makala hii, ijumaa ya leo ameangazia maandalizi ya tamasha la The Beat Festival ambalo lilikuwa limeandaliwa na msanii Mzungu Kichaa na Idhaa ya kiswahili ya RFI wakati wa maadhimisho ya mwaka mmoja wa RFI kiswahili nchini Tanzania.