Muziki Ijumaa

Kwanini waandaaji wa matamasha huwa wanaogopa kualika bendi kwenye matamasha yao?

Sauti 10:04
Wasanii wanaounda kundi la Sauti Sol la nchini Kenya
Wasanii wanaounda kundi la Sauti Sol la nchini Kenya

Mtangazaji wa makala haya, Ijumaa hii amezungumza na msanii Bien toka kundi la Sauti Sol la nchini Kenya na kuzungumza nae mambo kadhaa ikiwemo ni kwanini huwa hawaalikwi sana katika matamasha huko nchini Kenya?