Mtangazaji wa makala haya juma hili ameendelea kuangazia nchi ya DRC
Vipindi vingine
-
Changu Chako, Chako Changu Changamoto zilizopo baada ya kurejeshwa kwa vinyago vilivyoporwa na msanii Mbosso Karibu katika Makala haya ya Changu Chako Chako Changu, ambapo leo nakuletea changamoto zinazoendelea baada ya kurejeshwa kwa vinyago vilivporwa na kupelekwa Ulaya na Marekani, na kwenye Muziki nakuletea mwanamuziki Mbosso kutoka nchini Tanzania.14/05/2023 19:57
-
Changu Chako, Chako Changu Makala kuhuus uandishi wa vitabu na Marcel Yabili na historia ya Bob Marley Makala haya Habari rafiki Ali Bilali amezungumza na Marcel Yabili kutoka Lubumbashi nchini DRC kuzungumzia kuhusu uandishi wa vitabu hususan kitabu chake Vraiment Congo une tribu. Amekuletea pia kumbukumbu ya hayati Bob Marley aliefariki Mei 11 miaka 48 iliopita.06/05/2023 19:32
-
Changu Chako, Chako Changu Mashindano ya Muziki wa Slam ama mashairi Lubumbashi na mwanamuziki Kblack Ni Jumapili nyingine tunakutana tena katika Makala haya ya Changu Chako Chako Changu ambapo leo nakuletea makala kuhusu Slam ama mashahiri na kwenye kipengele cha le parler francophone tutaangazia kinachoandaliwa na Alliance francaise ya Nairobi, Dar es salaam na Institut francais ya Lubumbashi, na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Keblack kutoka nchini Ufaransa, mimi naitwa Ali Bilali, bienvenue et bon reveil matinale. Yaani Karibu na asubuhi njema, lakini pia Eid Mubarak22/04/2023 19:53
-
Changu Chako, Chako Changu Kijiji cha Mitahato nchini Kenya na jitihada za kujifunza lugha ya Kifaransa Ni Jumapili nyingine tunakutana tena katika Makala haya ya Changu chako chako Changu ambapo leo tunaangazia juhudi za wakaazi wa Mitahato Kaunti ya Kiambu katika Kujifunza lugha ya Kifaransa. Na kwenye le le parler Francophone tutaangazia kinachoendelea Alliance francaise ya Nairobi, Mombasa, Dar es Salaam na kwenye Muziki tutamzungumzia mwanamuzi Sheebah Karungi kutoka nchini Uganda. Mimi naitwa Ali Bilali Binvenue, ama Karibu lakini pia Bona Reveil Matinale,18/04/2023 20:00
-
Changu Chako, Chako Changu Historia ya mji wa kale huko Mombasa na maandalizi ya tamasha la karibu Walikale Karibu katika Makala Changu Chako Chako Changu, jumapili ya leo nakupeleka huko Mombasa nchini Kenya kuangazia mji wa Kale mjini hapo, na kwenye le parler francophone tutaangazia nini kilichoandaliwa na Institut Francais de Lubumbashi na Alliance francaise ya Nairobi na Mombasa. Na kwenye Muziki leo nakuletea mwanamuziki Willy Paul kutoka nchini Kenya mimi naitwa Ali Bilali ninakukaribisha Karibu, Ama Bienvenue et Bon Reveil Matinale, yaani asubuhi Njema.01/04/2023 19:58