Habari RFI-Ki

Hatua ya Uingereza kutishia kutotoa msaada kwa nchi ambazo hazitaruhusu ndoa za jinsia moja

Sauti 10:08
David Cameron, waziri mkuu wa Uingereza
David Cameron, waziri mkuu wa Uingereza REUTERS

Mtayarishaji wa makala haya juma hili ameangazia hatua ya nchi ya Uingereza kutishia kutotoa msaada wa kifedha kwa nchi ambazo hazitaruhusu ndoa za jinsia moja.