Habari RFI-Ki

Wananchi wa DRC waendelea kujiandaa na uchaguzi mkuu

Sauti 10:00
RFI/Anthony Terrade

Mtangazaji wa makala haya hii leo ameangazia namna ambavyo maandalizi ya uchaguzi mkuu wa DRC yanaendelea wakati huu ambapo hofu ya kiusalama imeendelea kutanda.