Changu Chako, Chako Changu

Fahamu kuhusu historia na utamaduni wa nchi zinazo zungumza kifaransa

Sauti 20:44

Katika makala haya utafahamu mambo mbalimbali ya utamaduni na historia ya nchi zilizotawaliwa na Ufaransa.Karume Asangama amekuandalia mengi, karibu.