Nyumba ya Sanaa

Fahamu uelekeo wa sanaa ya maigizo na filamu katika ulimwengu wa wanataaluma na wanasanaa

Sauti 19:59

Leo hii mtangazaji anakutana na mtaalamu wa sanaa za maigizo na filamu kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam Edgar Leonard Ngelela,na kuzungumzia umbali kati ya wasomi wa fani hii na wasanii wa fani hii ambao mara zote hawajakaa pamoja kubadilishana utendaji katika kuboresha tasnia ya filamu na maigizo.