Mfahamu msanii Oliva Mutukuzi raia wa Zimbabwe

Sauti 09:55
Msanii Oliver Mtukudzi
Msanii Oliver Mtukudzi Reuters

Makala ya Muziki Ijumaa, inamwangazia Mwanamuziki Nguli wa Miondoko Muziki wa Asili nchini Zimbabwe, Oliver Mutukudzi ambaye amejizolea sifa kwa kupenda Muziki na lugha za Nyumbani, amekuwa akitoa ujumbe wake kwa lugha ya Kishona, Ndebele na Kiingereza.