Nyumba ya Sanaa

Mfahamu msanii Ben Paul mkali wa miondoko ya RnB kutoka nchini Tanzania.

Sauti 20:00
chiniyacarpet.blogspot.com

Leo katika makala haya mtangazaji Edmond Lwangi Tcheli anazungumza na msanii maarufu wa mziki wa kizazi kipya  kutoka nchini Tanzania Ben Paul ambaye pia ni mshindi wa tuzo za Muziki za Kilimanjaro upande wa wimbo bora wa RnB kwa mwaka 2012.