Muziki Ijumaa

Dansi

Sauti 10:00
Mwanamuziki wa Bongo Fleva kutoka Mwanza Tanzania,Wynejones Kinye
Mwanamuziki wa Bongo Fleva kutoka Mwanza Tanzania,Wynejones Kinye

Makala ya Muziki Ijumaa inamwangazia Kijana, Mwanamuziki wa Muziki wa Bongo Fleva kutoka Mwanza, Tanzania Wynejones Kinye.Msikilizaji utafahamu mengi kutoka kwa Mwanamuziki huyu.