Nyumba ya Sanaa

Fahamu harakati kufanya filamu za vijana wawili kutoka Congo na Tanzania

Sauti 20:00

Katika makala haya utafahamu mambo kadhaa kuhusu harakati za vijana wawili  Frank Willson na John Bulambo kutoka  Congo na Tanzania katika tasnia ya filamu.