Changu Chako, Chako Changu

Mchango wa Jumuiya za nchi zinazoongea kifaransa katika utamaduni

Sauti 19:20

Jumuiya ya nchi zinazoongea lugha ya Kifaransa, ipo mstari wa mbele katika kuhamasisha uwingi wa kiisimu na ule wa kiutamaduni, kuelewa na kuheshimu tamaduni za wengine kwa ajili ya mitazamo bora za kiulimwengu..fuatilia.