Nyumba ya Sanaa

Ili uwe meneja wa kundi la wasanii wahitaji kujua mambo haya.

Sauti 20:45
Meneja wa kundi la TMK wanaume Family Said Fella
Meneja wa kundi la TMK wanaume Family Said Fella dartalk.com

Katika makala haya juma hili, Edmond Lwangi Tcheli anazungumza na meneja wa kundi la TMK wanaume family la nchini Tanzania, Said Fella, kufahamu undani wa mazungumzo haya, karibu usikilize.