Changu Chako, Chako Changu

Sera za utawala wa kikoloni ya Ufaransa zilikuwa zipi na kwa nini?

Sauti 19:51

Katika makala haya utafahamu kuhusu sera za utawala wa kikoloni wa Ufaransa ikilinganishwa na sera za utawala wa kikoloni wa Uingereza ambazo ni sera za ubaguzi. Wafaransa wao walikuwa wanafanya je kutawala nchi walizo zikoloni? Karume Asangama amekuandalia yafuatayo,Sikiliza upate jibu.