Polisi yawaweka chini ya ulinzi watekaji nyara kabla ya kumuokoa Profesa Omar...

Sauti 02:42
Kwame akiwa na Profesa Omar mara baada ya kumuokoa
Kwame akiwa na Profesa Omar mara baada ya kumuokoa RFI

Profesa anakutwa hoi,Kwame anawashawishi askari polisi kuwatia nguvuni watekaji kabla hawajatoroka au kuwadhuru.