Jua Haki Zako

Sehemu ya pili ya haki za walemavu Tanzania

Sauti 10:13
Mmoja wa washiriki wa semina iliyoandaliwa na CCBRT kwa watu wenye ulemavu
Mmoja wa washiriki wa semina iliyoandaliwa na CCBRT kwa watu wenye ulemavu Online

Mtangazaji wa makala haya hii leo ameendelea na sehemu ya pili ya mazungumzo yake kuhusiana na haki za walemavu nchini Tanzania na jinsi ambavyo serikali na taasisi mablimbali zimekuwa zikiwashirikisha watu wenye Ulemavu.