Habari RFI-Ki

Siku ya kimataifa ya wakimbizi duniani

Sauti 09:19
Reuters/Jonathan Ernst

Mtangazaji wa makala haya, hii leo ameangazia siku ya kimataifa ya wakimbizi duniani, ambapo dunia inawakumbuka kwa kuendelea kutoa misaada na kuwasaidia wengine kurejea makwao ambako amani imerejea.