Habari RFI-Ki

Kampeni ya wanaharakati wa Zimbawe katika kupiga vita maambukizi ya HIV/AIDS

Sauti 09:11
Harare, Zimbabwe
Harare, Zimbabwe Reuters

Mtangazaji wa makala haya hii leo ameangazia kampeni maalumu iliyozinduliwa na wanaharakati nchini Zimbabwe ambao wanataka wabunge ambao hawajatahiriwa hospitali wafanye hivyo ili kubaliana na maambukizi ya Virusi vya UKIMWI nchini humo.