Wafahamu P-Square
Imechapishwa: Imehaririwa:
Sauti 10:00
Mtangazaji wa makala haya hii leo amewaangazia wanamuzi wa nchini Nigeria wanaoendelea kujipatia umaarufu mkubwa barani ulaya kundi la P-Square.