Nyumba ya Sanaa

Msanii wa kizazi kipya Peace Kabongo wa Dar es Salaam ndani ya Nyumba ya Sanaa

Sauti 19:30

Msanii chipukizi wa kizazi kipya Kabongo Peace atua nda ni ya Nyumba ya sanaa na kujadili mambo mbalimbali yahusuyo muziki huo na changamoto zake.