Nyumba ya Sanaa

Kutana na Costa Siboka msanii wa muziki wa asili,ndani ya nyumba ya sanaa

Sauti 20:00

Msanii Costa Siboka atua ndani ya rfikiswahili na kujadili namna mziki wa asili unavyoenziwa hususan katika mikoa ya kanda ya ziwa nchini Tanzania na mchango wake katika kukuza tamaduni...pata uhondo.