Nyumba ya Sanaa

Kutana na msanii wa nyimbo za jadi kutoka Tanzania,Costa Siboka

Sauti 20:00

Nyumba ya sanaa safari hii inakutana na msanii wa nyimbo za asili kutoka kisiwa cha ukerewe Mwanza Tanzania,anajulikana kama mfalme Siboka,.anakujuza mengi kuhusu sanaa hiyo..pata uhondo