Haki za watoto

Sauti 10:05

Haki za watoto zimeendelea kukiukwa duniani hasa barani Afrika.Haki za watoto kupata malezi bora,elimu na haki zingine bado hazipewi kipaumbele.Sabina Crispine Nabigambo anajadili suala hili katika kipindi hiki cha habari rafiki