Lokua Akanza mwanamuziki kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo

Sauti 10:00

Makala ya juma hili ya Muziki Ijumaa yanamwangazia msaani, Lokua Akanza kutoka katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambaye kwa sasa anaishi nchini Ufaransa.Ungana na Lizzy Masinga kwa burundani zaidi.